.Jeshi la polisi Nchini limeahidi kushughulika na vitendo vya mauaji vinavyoendelea kutokea mkoani Njombe kwa njia yoyote.
Kamanda wa polisi Nchini IGP Simon Siro akiwa mkoani Njombe kwa ukaguzi wa kawaida, amesema kuwa amezielekeza timu za upelelezi kuhakikisha yeyote atakayehusika na mauaji anapatikana na kushughulikiwa.
“hali ya uhalifu ipo chini lakini tunashida bado ya mauaji na nimetoa maelekezo kwamba lazima haya tuyamalize mkoa wa Njombe,wale wanaofanya kwa ulevi,kwa ugomvi na kwa ushirikina waache kwasababu wataishia magerezani,nimeelekeza timu zetu maalumu za upelelezi kuhakikisha kuwa yule anayefanya mauaji anapatikana, kuna tukio hapa juzi kwasababu ya ushirikina mzee amekamatwa amepasuliwa pasuliwa ni mambo ya kishamba, haiwezekani mkoa mmoja kila siku Njombe mauaji watu hawataki kuacha ”alisema Siro
Katika hatua nyingine kamanda Siro ameliagiza jeshi la polisi mkoa wa Njombe kutoa elimu kuanzia mashuleni mpaka vyuoni juu ya madhara ya ubakaji kutokana na changamoto hiyo kuonekana kuwa kubwa mkoani Njombe.
“lakini pia nimeona tunashida ya kubaka na makosa haya ya kubaka ni mengi nimeelekeza waende kutoa elimu kuanzia mashuleni kueleza madhara ya kubaka,lakini mbaya zaidi imeonekana kesi ikienda mahakamani makosa mengi ya kubaka yanashirikisha ndugu nimesema biashara ya ndugu haipo ukifanya kosa la jinai,kwa hiyo unapobaka ujue inakushtaki jamhuri haya mambo ya kizamani tuyaache wanawake mbona ni wengi sana swala kufuata tu sheria”alisema kamanda
Hata hivyo kamanda Siro amesema ili kuimarisha utendaji kazi wa jeshi hilo serikali imetoa fedha takribani bilioni 900 ambazo zimeanza kutumika katika ujenzi wa makazi ya askari hivyo ujenzi unaendelea kwa awamu ili kukamilisha maeneo yote nchini.
simba 2019 MAUWAJI NJOMBE LAZIMA TUYAMALIZE"IGP SIRO" | |
| 12 Likes | 12 Dislikes |
| 1,240 views views | 338K followers |
| People & Blogs | Upload TimePublished on 30 Apr 2019 |
Related keywords
video phone beyonce mp3,hamisa mobeto na diamond,videos for cats,yangarra shiraz,bungee fitness,video phone letra,zitto kabwe profile,free ringtones,udaku wa mjini,freedom mortgage,hamisa mobeto video download,zarina fabre,video doorbell,bungee chair,chadema in blood,sharing amazon prime,udaku wa wasanii,sharingan eyes,video phone é a continuação de telephone,video player,ccmp capital,zitto kabwe ruyagwa,simba y nala,camera iphone x apk,diamond world dhanmondi,yanga mbiwa,yangaroo stock,sharing is caring,diamond nose pin price,zitto kabwe cv,hamisa mobeto madam hero video download,camera iphone 7 vs iphone 8,video editing app,free music,video phone ft lady gaga,yanggang2020,tundu lissu 2019,global entry interview,simba para dibujar,wema sepetu death,global poker,tundu lissu kuvuliwa ubunge,video phone call,global supertanker,hamisa mobetto instagram,chadema website,chadema tv,zarina,udaku in english,upload resume to linkedin,sharing wifi password,sharing wifi iphone,wema sepetu new look,upload music to spotify,ccm titans direct,zitto kabwe freemason,hamisa mobeto and diamond,sharing network 5k,wema sepetu age,upload soundcloud,mmboe to bcf,bunger sayville,zarini hogar,simba pelicula,free movies,wema sepetu height,global lending,mboe oil and gas,camera phone x apk,sharingan contacts,tundu lissu leo,video games,global entry renewal,udakuroom,upload to instagram from pc,mboemparts review,zarina diyas,camera phone x,zitto kabwe biography,video phone tradução,yangachi,simbakubwa,zaritskaya,global golf,video phone lady gaga,ccmanagers,zitto kabwe instagram,mboepd meaning,zarina anastasia,global entry login,free credit score,udaku2020 instagram,wema sepetu child,camera iphone 8 plus apk,tundu lissu bungeni,ccm testing center,tundu lissu yuko wapi kwa sasa,zarich premoldeados,videoder,videographer,zarina caleta olivia,wema sepetu afariki dunia,sharing shelf,tundu lissu ubunge,upload speed,camera iphone 7 plus,http://udaku.co.ke,video camera,yanga fc,cimbalo,wema sepetu family,ccm certification,zarich,zarismo,uploadvr,wema sepetu biography,upload speed test,ccm webadvisor,diamond world nose pin,global payments,hamisa mobeto before bleaching,yanga sobetwa,global regents,video phone beyonce,sharingan naruto,upload download speed,bungee jumping nj,tundu lissu biography,chadema media,ccm academic calendar,udaku special,tundu lissu yuko wapi,global entry,globalization,upload youtube,upload to google drive,freeform,camera iphone xr vs xs,videogamedunkey,sharing economy,hamisa mobetto latest news,diamond rush,sharing kindle books,sharing community yonkers,diamond world,free vpn,ecu email,wema sepetu ig,mboe/d meaning,chadema logo,camera iphone x,udaku meaning,video editing software free,free fonts,video phone screen,bunger surf camp,diamond dove,mboer,upload pictures,mboem,yanga chief,http://www.mboe.info,video phone wikipedia,tundu lissu avuliwa ubunge,ccm jobs,freecell,video phone gaga,video phone beyonce lyrics,tundu lissu arudi tanzania,wema sepetu latest news,freebirds,video killed the radio star,bunger surf,simvastatina,upload pdf to kindle,diamond heart lyrics,video game stores,diamond cuts diamond,wema sepetu 2019,upload studio,freestyle libre,sharing network,chadema people's power mp3,camera iphone 8,upload image,wema sepetu net worth,zitto kabwe age,simba significado,zitto kabwe contacts,udakutz on instagram,mboe vs mmboe,camera iphone 7,mboe to boe,camera iphone 6,wema sepetu movies,simbad el marino,diamond nose pin,ccmc,simba bebe,ccma,simba fc,camera phone 2019,sharing google calendar,simbar,upload video,chadema blog habari mpya,ccm bookstore,hamisa mobetto new song,video phone beyonce lady gaga,yangarra shiraz 2014,simbad,wema sepetu news today,video phone commax,tundu lissu habari mpya,bungee jumping nyc,diamond rings,tundu lissu atarudi lini tanzania,diamond world limited dhaka,zitto kabwe bungeni 2019,video phone number,mboe/d,zitto kabwe youtube,sharing community,zitto kabwe bungeni,yangaroo,bunge white plains,udaku zone telegram,ccmp,diamond necklace,diamond world eid offer 2019,zitto kabwe education background,hamisa mobeto biography,chadema tanzania,bunger surf cam,ccm college,simbad el marino resumen,yangarra resources,zitto kabwe ni nani,diamond ring price,global entry application,diamond plaza,upload video to youtube,mboe degree,zarigüeya la era del hielo,chadema matukio,freep,yangarra,ccm hockey,video phone extended remix,sharingbox,chadema habari,video editor,bungee cord chair,camera iphone,camera phone comparison,sharing is caring meme,zarinas de rusia,hamisa mobeto song,hamisa mobetto son,app video iphone,camera iphone 8 plus,camera iphone xr,zariguella imagen,tundu lissu kugombea urais 2020,yanga mexico,ccmsi,global cash card,ccm summer classes,free people,sharing outlook calendar,udaku news kenya,tundu lissu news,diamond world uttara,wema sepetu and diamond,tundu lissu bbc,video phone beyonce letra,tunapendana hamisa mobeto,boeing,global industrial,zitto kabwe wikipedia,diamond platnumz,zarina significado,ccm map,video phone lyrics,udaku special apk,simba y mufasa,symbaloo,udaku zone,video star,mboe to mbbl,free games,hamisa mobeto house,diamond world ring,bunge stock,bunge limited,zimbabwe,video converter,hamisa mobetto age,chadema media tv,video maker,hamisa mobetto,video phone feat lady gaga,bunge north america,video editing software,zitto kabwe bungeni youtube,hamisa mobeto and zari,free credit report,muungwana tv,camera iphone x vs xr,hamisa mobeto hairstyle,video to gif,tundu lissu historia yake,camera phone ranking,ccm blackboard,free robux,upload to imgur,zarigüeya es lo mismo que comadreja,camera phone x - os 12 camera apk,zitto kabwe ruyagwa twitter,udaku dar youtube,bunger,camera iphone apk,yanga veracruz,mboe definition,bungee,free dating sites,udaku motomoto,mboemparts,chadema flag,free stock photos,zarina alexandra,yanga music,bungee workout,upload photos to icloud,wema sepetu weight loss,global climbing day,chadema mbowe,upload photo,video downloader,wema sepetu pictures,yangaroo dmds,boe to mcf,global rph,zitto kabwe bungen,bungee cord,zariguella,mboe to mmcf,yanga veracruz mexico,zarigüeya,simba sc,wema sepetu app,chadema leo,global leadership summit,chadema blog,yanga meaning,free online games,free movies online,simba rey leon,ccm library,hamisa mobeto my love,bungee jumping near me,chadema news,mboe/day,udakudaily instagram,bungee jumping,diamond cement,diamond price in bangladesh,chadema breaking news,tundu lissu instagram,upload file,yanga water,hamisa mobetto wikipedia,chadema msitupige mabomu mp3,simba para colorear,global connect,tundu lissu afutwa ubunge,wema sepetu today,udakuplus instagram,zitto kabwe facebook,zariband,wema sepetu photos,mboed oil,zaristas,global map,tundu lissu ubelgiji,chadema songs mp3 download,yangang,sharingan,hamisa mobetto madam hero,global citizen festival,sharingan tattoo,chadema in blood instagram,bunge investor relations,video to mp3,tundu lissu news today,udaku tv,
Không có nhận xét nào:
Đăng nhận xét